Swahili
Home » Rwanda na Umoja wa falme za kiarabu watia saini mkataba wa ushirikiano
BIASHARA HABARI MPYA KIMATAIFA

Rwanda na Umoja wa falme za kiarabu watia saini mkataba wa ushirikiano

Rwanda na Umoja wa falme za kiarabu wametia saini kwenye mkataba wa uwekezaji na kodi.

Rais Kagame na kiongozi kwa upande wa Warabu

Mkataba huu umtetiliwa saini kati kwa upande wa Rwanda na Kiongozi makamu wa Ofisi kuu ya Maendeleo,RDB Emmanuel Hategeka.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mkataba huu unalenga kukuza uwekezaji na kuzuia kulipa kodi mala mbili kama kulingana na taarifa za RBA.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mkataba huu umetiliwa saini wakati ambapo kuna kikao mjini Dubai kati ya marais wa Afrika husika na uchumi kati ya Afrika na Dubai.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com