kwamamaza 7

Rwanda na São Tomé et Príncipe wamesaini mkataba wa ukulima na ushirikiano

0

Umoja wa Rwanda na São Tomé et Príncipe huendelea na hatua nyingine, kundi ya nchi hii likiongozwa na waziri wa wasiliano na mataifa, Urbino Botelho wamefanya ziara Rwanda na wakasaini mkataba wa maendeleo ya ukulima, biashara na ushirikiano kati ya nchi mbili.

Kundi kutoka São Tomé et Príncipe walitembelea pia kumbukumbu la ukumbusho la mauaji ya Kimbari Kigali na kuwaheshimu walio poteza maisha katika mauaji ya kimbari dhidi ya Watusi, walifika pia mahali pa viwanda Kigali.

Ukarasa wa twitter wa waziri wa uhusiano na mataifa wa Rwanda, huonyesha bahati ya ukulima Rwanda, kama kahawa ikiwa moja ya nguzo ya uchumi kati nchi zote mbili. Walisaini ukulima, utali, ubiashara, kuondoa visa na ubebaji mizigo ndani ya ndege.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mwaka nenda waziri mkuu wa São Tomé et Príncipe, Emery Travoada, pamoja na jamii yake walifanya ziara Rwanda na walikaribishwa na rais wa jamhuri ya Rwanda na wakazungumzia uwasiliano wa nchi hizo mbili.

Kundi la Wanyarrwanda likiongozwa na waziri wa uhusiano na mataifa, Louise Mushikiwabo, walifanya ziara ya kazi São Tomé et Príncipe, ziwa la ghuba ya Guinea ndani ya bahari la Atlantika, na waliongea na wenzao kwa ajili ya kuzua umoja.

Rwanda ni moja ya nchi ambazo huraisisha ushirikiano wa Waafrika na pande zote mbili wamekubaliana kupeana ujuzi na visa, kupeana taarifa na kusaidiana kwa uwezo.

Ziara ya siku tatu tangu tarehe 5 hadi 5 Januari 2017, waziri Mushikiwabo na mwenzake Urbino Botelho walisaini mambo ya kupanua ushilikiano na mashauri katika mambo ya kidiplomasia na siasa .

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.