kwamamaza 7

Rwanda na nchi 26 za Afrika wameamua kujenga soko moja

0

Wizara ya biashara, viwanda na matendo ya jamii ya Afrika ya Mashariki (MINEACOM) pamoja na nchi 26 za EAC, COMESA na SADC tayari wamesaini mkataba wa kulijenga mkutano wa soko moja.

Wajuzi hao husemaya kuwa kituo cha kwanza kilitiwa saini na wakuu wa nchi wakiwa Misri mwaka wa 2015.

Soko itasaidia kuondoa kodi za mipaka, itaraisisha usafirisaji wa nchi ambazo huunda soko hilo na kuwapa bahati wafanyao kazi ya huduma.

Kiongozi mkuu wa biashara katika MINEACOM, Robert Opirah alisema soko hilo litawapa Wanyarwanda bahati ya ubiashara, eti “ tuna raia miliyoni 12 lakini soko hii ina watu zaidi ya miliyoni 500, ikimaanisha ya kwamba soko ni pana katika biashara”.

Kamanzi Geoffrey , kiongozi anaye husika na maendeleo ya ubiashara katika masoko kimataifa alisema ya kuwa soko hilo itakuwa suluhisho kwa wafanya kazi ubunafsi na hapo aliwaomba kufanya kazi kwa bidii.

Murebwayire Christine anahusika na wafugaji na wakulima anahakikisha ya kuwa ni jibu katika maswala ya malimbuko katika nchi za Afrika.

Akisema ya kwamba ubiashara wa kuvuka mipaka hukamata hatua nyingine eti” hadi sasa wafanya biashara huvusha mipaka mboga majani, matunda katika bara la Afrika hata katika bara la Ulaya kama Canada na Ufaransa”.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google”]

Leki@bwiza.com, chanzo imvaho

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.