kwamamaza 7

Rwanda na Misiri wamekubali ushirikiano kwa kupiganisha makosa

0

Rwanda na Misiri wamesaini mkataba kuhusu ushirikiano kwa kupiganisha makosa kati nchi zote mbili.

Mwendesha mashtaka mkuu wa Rwanda, Mutangana Jean Bosco ndiye aliyetiya saini kwenye mkataba akiwa pamoja na mwenzake wa Misri Nabeel Ahmed Sadek wote wakiwa Cairo alhamisi.

Mkataba huo ulitiwa saini wakati wa kikao cha wendesha mashataka wa Afrika (APA) huko Misri, Rwanda ikiwa na nafasi ya makamu ya uongozi.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Mutangana mwakilishi wa wendesha mashtaka wa Afrika aliomba kuwa na ushirikiano kwa kupeana wakosefu ama kuwafikisha mbele ya mahakama pakiwa maelfu ya Wanyarwanda waliohusika na mauaji ya Kimbari ambao wapo sehemu tofauti za Afrika, wakiombwa kupiganisha tabia ya kutoazibu.

Ya muhimu katika mkataba huo ni upanuaji wa ushirikiano kwa kupiganisha makosa yanayo vuka mipaka.

Pakiwemo makosa yaliyo tayarishwa, ughaidi, rushwa, usafirisaji wa watu kibiashara, dawa za kulevya, makosa ya kiuchumi na ubiashara haramu itokanayo na mila.

Uendesha mashtaka wa Rwanda umetoa vibali 482 vya kuwatiya mbaroni wanaofiliwa makosa wakijificha katika nchi za Afrika muda wa miaka 10, Mutangana aliomba baraza la APA ushirikiano ili hao wanafikiliwa makosa wafikishwe mahakamani.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Mwendesha mashtaka mkuu wa Rwanda alishukuru kamati ya APA katika ushirikiano na shurti katika sheria kwa kupiganisha makosa katika ngazi ya kutimiza sheria ya Afrika, na alihamasisha ya kwamba Rwanda itaendelea ushirikiano na nchi kwa kupiganisha makosa.

Wanaopendelea bwiza.com iwatembelee na kuwatangazia habari kwenye bidhaa vyao wanaweza kutumia ujumbe kwenye barua pepe ya meckypro@gmail.com, ama wapigie simu kwenye nambari ifuatayo: 0784685981.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.