kwamamaza 7

Rwanda na Mali wanakwenda kurahisisha usafirisaji wa ndege

0

[xyz-ihs snippet=”google”]

Tarehe 13 Februari 2017, serikali ya Rwanda na Mali wamefanya mkataba wa kurahisisha usafirisaji wa ndege zinazo toka ama kwenda katika nchi zote mbili.

Mkataba huo umetiwa mhuri na katibu katika wizara ya mambo anayehusika na ubebaji, Dr. Alex Nzahabwanimana, pamoja na waziri wa Mali, Traore Seynabou Diop.

Dr Alex Nzahabwanimana, amesema ya kuwa usafirisaji huu utasaidia biashara ya anagani kwa upande wa Rwanda na Mali. Itapandisha pia uchumbi kwa pande zote, na pia ndege ya Rwanda inaweza hata kuwachukuwa watu na mizigo kutoka Mali na mahali pengine ifikapo, mkataba huo ni mpana kwa biashara.

Dr Nzahabwanimana, amesema mwezi Mei 2017, Rwanda itauza ndege mpya ya aina Boeing 737-800 kwa kuunga zengine 11 katika mambo mengine.

Amesema ndege kwenda kwenye uwanja wa Bamako bila kupitia nafasi nyingine ni masaa sita, mbele ilikuwa masaa 10, ilibidi kuamka mapema ili kuchukua ndege ipitayo Ethipia ao Kenye na kukamata nyingi hadi Mali, hasa tatizo hilo limeondolewa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.