kwamamaza 7

Rwanda na Djibuti wamesaini mambo 5 ya ushirikiano

0

Rwanda na Djibuti  wapo na uwasiliano wa karibu na kutumaini kuwa Afrika huwa na usamini wake, hayo ni katika maongezi pamoja na mwenzake rais wa Djibuti Ismail Omar Guelleh wakiongea na utangazaji habari, na kusaini mambo tano ya kuhamasisha ushirikiano.

Tarehe 18 ndipo rais Kagame aliwasili Djibuti katika ziara ya siku mbili akiwa pamoja na mke wake Jeannette Kagame. Ziara hio hufuata mkutano uliofanyika Kigali kati ya Djibuti na Rwanda.

Katika maongezi na wanahabari, alisema kuwa wanafurahia hatuo ilio pigwa kuhusu uwasiliano na undugu kati nchi zote mbili, mambo ambayo anasema itazidi kuendelea hata wakitarajia iwe katika nchi za wilaya yote.

Rais Kagame aliendelea na kusema kuwa wanaendelea na kuhamasisha ushirikiano wa nchi kwa ajili ya kuzua ngazi ya uchumi kati ya Djibuti na Rwanda hata bara la Afrika kwa ujumla.

Alisema kwa haraka wanafurahia kuwa pamoja na nchi za Afrika kupitia nchi ambazo huunda umoja wa Afrika, mukikumbuwa kuwa rais Kagame kapewa majukumu na AU ya kutayarisha yanayo stahili kujengwa upya.

Wanasubiri ushirikiano ubiashara ya Special Economic Zone, kuhusu ubebaji na teknolojia na mengine. Nchi hizi mbili kasaini mambo tano ya ushirikiano kama teknolojia, kuzua na kulinda ubiashara, kujenga kwa pamoja wanadiplomasia wenye VISA, ubebaji wa mizigo katika anga, kundi inayo undwa na nchi zote mbili.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rais Kagame alisema ushirikiano hauko katika ngazi hizi pekee, ila itaendelea katika ngazi zingine ambazo zitaonekana mhimu kwa nchi hizo.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.