kwamamaza 7

Rwanda: Mwizi anata kwenye mgomba wa ndizi akijaribu kupora ndizi

0

Kijana mwenye umri wa miaka 30, amekutwa akinata kwenye mgomba wa ndizi aliyokuwa akitaka kuiba. Ni katika tukio lililotokea usiku wa jana tarehe 20 Juni 2017 kuamkia leo katika eneo la Nyamabuye, tarafa ya Gatsata wilaya ya Gasabo.

Mwizi huo alikutwa asubuhi ya leo tarehe 21 Juni, ambako umati wa watu ulikuwa umekuja kushuhudia maajubu haya, mojawapo walikuwa wameambiwa bila kujionea kwa macho aina ya uchawi huu unaojulikana kama “uruhereko” katika Kinyarwanda ambao unamfanya mwizi kunata kwenye kitu anachotaka kuiba.Ametenganishwa kutoka hapo hadi viongozi wa eneo hili walipomwombea msamaha.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kiongozi wa eneo hilo anayejadili ustawi wa jamii, Eric Nzabandora, amesema kwamba wamemwombea msamaha kwa mwenye ndizi hiyo na ndipo walipoona ametenganishwa na ndizi hiyo kwa namna ambayo hawakuelewa.

Mjawapo wa mashahidi waliohojiwa na Bwiza.com wamesema kwamba mtu anayeitwa Akingeneye amekuja na pembe na akamgusisha na kuona mwizi akatengana na ndizi aliyokuwa amenata na akaanguka.

Hali ya kushangilia, na kunonong’onezana maneno na hata kupiga makofi kwa hapa na pale ndio ilikuwa inawakumba mashahidi hao waliokuwa wakishudia kijana huyo ambaye hakuwa anajulikana katika eneo hilo. Wakisema pia hili nionyo kwa wezi.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

 Richard Wa Billy

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.