Mtangazaji Constantin Tuyishimire wa TV 1 ametoweka tangu jumatatu.

Familia yake imeabia vyombo vya habari nchini humo, hawajui alikoelekea kinyume na kuwa anafanyia kazi yake kaskazini mwa nchi.

Msemaji wa Ofisi Kuu ya Upelelezi nchini, Modeste mbabazi amesema mkewe Tuyishimire amewajulisha kesi hiyo na upelelezi umeanzishwa.

 

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.