kwamamaza 7

Rwanda: Mtandao wa twitter kwa Gavana wa mkoa wa kaskazini washambuliwa

0

Gavana wa mkoa wa kaskazini,Jean Marie Vianney Gatabazi leo tarehe 20 Novemba 2017 ameomba masamaha kwa wanaofuata ukuta wake kwenye mtandao wa twitter baada ya watu ambao hawajatambulika kutia  hadharani picha za mtiriri.

Ujumbe wake,Gavana Gatabazi

Kupitia ukuta wake wa twitter,Gavana Gatabazi ametangaza kuwa ukuta wake wa twitter umeshambuliwa na walaghai na kuwa anajaribu kujadiliana na suala hili.

[xyz-ihs snippet=”google”]

“Account yangu ya twitter imeshambuliwa,kuna walaghai mbalimbali na kuna wezekana kuwa virusi ila iwapo ni mtu binafsi,sijui analodhamiria.Ninatafuta namna ya kupata suluhisho”amelezea Bwiza.com Gavana Gatabazi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kuna wafuasi 12,800 kwenye ukuta wa Gavana Jean Marie Vianey Gatabazi.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.