kwamamaza 7

Rwanda: Mpango wa gari za kutembelea kwenye kamba juu ya Kalisimbi

0

Gari ambazo zinatembelea juu ya kamba kwenye volkano ya Kalisimbi zipo kwenye mpango wa Rwanda kwa kujenga utalii huko Kalisimbi hata kuhamasisha hali ya hewa kwa wafanya biasha wa Afrika kwa ujumla.

Taarifa kutoka kwa magazeti mbalimbali husema kwamba kampuni ya wataliyani “Leitner Group” ipo tayari kujiunga ili kufanya mpango huo wa utalii unaoweza kuunganisha milima mirefu na hata bonde.

Hayo yalionekana kwenye ukarasa wa shirika la kuhifadhi maendeleo (RDB) mnamo mwaka wa 2007 ilisemwa kwamba Rwanda ni Nchi ambao itahusika na hali ya hewa barani Afrika.

[ad id=”72″]

Volkano ya Kalisimbi ina uvimbe wa meta 4,507 na watu hutumia masaa manne kwa kuupanda na mengine mawili kwa kushuka, wengine hutumia ndege ya aina ya Elikopta.

Baada ya Afrika Kusini, Rwanda inakua nchi ya pili kwa kufanya mpango huu wa gari juu ya kamba katika bara la Afrika na mpango huu utakuwa miongoni mwa kampuni na Meteo Rwanda

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.