kwamamaza 7

Rwanda moja wa nchi ambazo huweza shambuliwa na ughaidi

0

Takika maongezi na wenye kuwa na magorofa mjini Kigali, jana tarehe 23 Mach 2017, polisi ya Rwanda iliwaambia pamoja na ngazi ya usalama ya kuwa kuna dalili ambazo huonyesha kuwa yawezekana kushambulia na waghaidi.

Katika maongezi polisi ya Rwanda ilitangaza ya kwamba shambulio huweza tokea kwa Rwanyarwanda walio ingia katika makundi wa wanamgambo kama Al Shabab, Al caida, Islamic state hata Boko Haramu.

Hata kama polisi haikutaja majina ya wahusika kwa kushambulia mji wa Kigali, mwezi Januari walikamata kijana mwenye umri wa miaka 20 alipo kuja kutazama na kuchunguza sehemu wenzake waliokamatwa mwaka wa 2016 wanafungiwa na kijana huo alikubali kuwa alitumwa na kundi la Al shabab na anaendelea na kusema kwamba alipewa mafunzo ya kupigana na wapo tayari kushambulia wakilipiza kisasi kwa waislam 46 waliofungwa.

Polisi iliendelea na kusema ya kuwa walikamata kijana mwengine mwenye umri wa miaka 26 naye alifundishwa na Al Shabab, na wote wawili husema ya kwamba lengo lao ilikuwa kutayarisha nafasi ya kushambulia. Mpango wao ungepangiliwa na mkutano katika muskiti wa mjini Kigali, shambilio ilikuwa mwanzo Nakumati(UTC) na Kigali City Tower. Na hapo ndipo polisi husema kwamba Rwanda yupo kwenye orodha ya nchi ambazo huweza shambuliwa.

ACP Dennis Basabose et”zile nchi zenye kuwa na askari kwa kulinda amani kama AMISOM wanaviziwa na Al Shabab, Rwanda nasi tunaviziwa kwa kuwa tulitiya mbaroni wanaofikiliwa ughaidi, wanaendelea kuwatuma wapelelezi ili wapate jinsi ya kushambulia.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Polisi ilifafanua ya kwamba dalili huonyesha ya kuwa kundi za ughaidi zipo Rwanda kupitia vitabo ambavyo vilikamatwa vikiwa na shurti za kundi hizo, na wengi wakiwa wa dini ya Islam.

Polisi inaomba kusaka kila yoyote anayeingia katika magorofa hata gari bila kujali wenyeji na kuchunguza kila mtu kwa sababu hakuna ushambuliaji bila ushabiki.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.