kwamamaza 7

Rwanda miongoni mwa nchi 3 bora zinazotariyasha bati za Kiafrika na nchi 13 duniani

0

Kwa mujibu wa repoti ya Benki Kuu ya Dunia kuhusu masoko ya maliasili ya mwaka 2016, Rwanda imeshika nafasi 3 Afrika na ya 12 duniani.miongoni mwa wazalishaji bora wa madini ya bati

Oradha ya nchi za Afrika kwa mujibu wa Shirika la Ecofin, inaongozwa na (DRC: Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo), Naijeria na Rwanda.ya tatu. Barani Afrika Naijeria ndio imeshika nafasi ambayo Rwanda iliyokuwa ikishika katika repoti ya awali.

Repoti hiyo inaonyesha kuwa Naijeria iliweza kuzalisha tani 3800, huku Rwanda ikizalisha tani 2100 na DRC tani 4100 za madini hayo.Kuhusu usafishaji wa bati , Nijeria ndio nchi pekee iliyoweza kupatikana katika orodha hiyo

Bei ya bati ikiwa imekutana na pigo la kushuka (ikiwa ni 19, 466 $ Februari 2017 dhidi ya 21,204 $ mwezi Disemba 2016) Naijeria itatarajia uchumi wake kustawi (ikiwa bei hiyo iliwahi kupanda kwa 19 910$ kwa tani mwezi Aprili) la hasha inataka kupanua uchumi wake ambao unategemia sana mafuta.Ifahamike kwamba nchi hii ilipata 150 m $ za kutumia katika sekta yake ya migodi.

Kuhusu Rwanda, ambayo inalenga kupata 400 m $ kutoka sekta ya migodi nayo itasubiri kusawazika kwa bei ya bati. Cassitelite(ambalo ni kiini cha kwanza ch dini la bati) ikiwa ndiyo asili muhimu ya mapato ya bidhaa zinazopelekwa nje ya nchi isipokua woluframu kolta.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kwa upande wa DRC itajaribu kufanya bidhii ikitaka kutopoteza nafasi yake ama pia kunyakua nafasi ambayo Vietinamu inashika ,nafasi ya nane duniani. Uchina ndio inashika nafasi ya kwanza kuhusu uzaishaji na matumizi madini yayo.

Rwanda inalenga kuongeza mapato yake kutoka bidhaa zinazopelekwa nje, kama alivyobainisha waziri wa Uchumi, Claver Gatete, mwanzo wa mwezi Mei.

Kuhusu utekelezaji wa bujeti ya 2017- 201,“ mapato kutoka bidhaa zinazopelekwa nje anatarajiwa kuongezeka hadi 21.6%, hususani kutokana na ongezeko la 40% ya mazao ya chai na madini”.

Isipokuwa, bati ambayo Rwanda inapeleka nje, inapeleka pia, koltani, tungtsene, dhahabu na beryl. Isitoshe hivi karibuni ,viongozi waligundua madini mengine mawe ya thamani, mafuta, chuma ,litiamu katika sehemu mbalimbali za nchi.

Hii ilitangazwa ,kwenye mkutano na wanahabari, na Lt Col. Dr. Emmanuel Munyangabe, Afisa wa oparesheni kwenye Rwanda Mines, Petrolium and Gas Board (RMPGB) idara mpya ambayo iliundwa kwa ajili ya kusimamia na kuratibu taratibu zote zinazohusu usafirishaji wa madini nchini Rwanda.

maeneo panapojulina kwa uchimbaji wa madini nchini Rwanda ni kama Shyorongi, Musasa, Rutongo, Rwinkwavu, Musha-Ntunga, Bugarura, Miyove, Gifurwe, Karenda, Nyungwe, Bugesera,Ndiza, etc.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Richard Wa Billy/bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.