kwamamaza 7

Rwanda: Mbunge asema kuna masuala yasiyostahili kuletwa bungeni

0

Mbunge nchini Rwanda, Begumisa Safari Theoneste amesema kuna masuala ya wananchi ambayo hayastahili kuletwa bengeni nchini humo.

Jana, Begumisa amesema kwamba kuna masuala ya wananchi ambayo hayana uhakika. Ameambia Tume ya Mambo ya nje bungeni wakati wa kujibu suala la mwanachi, Clement Nzabahimana.

Huyu mkazi alikuwa akiomba maelezo marefu kuhusu masuala yakiwemo mapenzi ya jinsia moja, kupiga, kutoroka na kuwapiga risasi wafungwa. Kwa ujumla. Suala lake lilikuwa likizungumzia kuhusu masuala ya gerezani nchini Rwanda.

Wabunge wamesema masuala hayo, hayastahili kuletwa bungeni kwa kuwa hayawezi kusababisha wasiwasi.

Wizara ya haki imekanusha kuna masuala kama hayo katika gereza nchni Rwanda.

 

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.