kwamamaza 7

Rwanda: Mabomu 58 yagunduliwa kaskazini magharibi

0

Mabomu 58 yamegunduliwa jana  kaskazini magharibi mwa Rwanda,wilyani Rubavu.

Kiongozi wa kijijini huko, Caritas Muyango haya mabomu yaligunduliwa ]na watoto.

Kumegunduliwa mabomu 19  ya aina ya Mortar 60 na 5 za Katyusha.

Maafisa wa usalama wakifuatilia suala la mabomu yaliyogunduliwa

Inatarajika kwamba hizi silaha zilifichwa huko wakati wa mapambano mwaka 1994 na jeshi la 001 Jen. Juvenal Habyarimana.

Hii ni mala ya tatu mabomu kupatikana eneo hili.

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.