kwamamaza 7

Rwanda kurahisisha shinikizo la Marekani kuhusu marufuku ya kafa ulaya

0

Wizara ya Ufanyabiashara na Viwanda imeweka wazi Rwanda haijafukuzwa katika mkataba wa AGOA na kuwa kunatarajika mkutano kati ya Rwanda na Marekani kwa kuzungumza kuhusu marufuku ya kafa  ulaya.

Waziri Vincent Munyeshyaka ametangaza  wameamua kuzngumza na Marekani kuhusu mfumo mpya wa kutumia mktaba wa AGOA na kujadiliana kuhusu suala la kafa ulaya hasa nguo na viatu.

“Tumewaeleza vilivyo siasa yetu kuhusu kafa ulaya  na walituambia kwamba tunaweza kukaa tena tukazungumza  kuhusu mfumo mpya wa utendaji”

“ Rwanda ni mshiriki wa mktaba wa AGOA, biashara nyingine itaendelea isipokuwa nguo za kafa ulaya” Waziri Munyeshyaka ameongeza

Mwezi Machi Rais Trump alitangaza Rwanda inastahili kuacha uamuzi wake kuhusu marufuku ya kafa ulaya kwani ni kizuizi kwa mkataba wa AGOA.

Rais Trump alikuwa akisema Rwanda inaleta changamoto za kibiashara kinyume na mkataba.

Huu mkataba ulitiwa saini mwaka 2000 ukilenga kurasisha Ufanyabiashara kati  ya nchi za Afrika na Marekani.

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.