kwamamaza 7

Rwanda kuelezea kwa mapana na marefu baraza la Umoja wa kimataifa la kupambana na utesaji

0

Rwanda inatarajia wiki hii kueleza kwa mapana na marefu mbele ya baraza la Umoja wa Mataifa  la kupamabana na utesaji(CAT),idara ya wahenga wa haki za binadamu inayofuatilia utekelezaji wa mkataba wa kupambana na utesaji na adhabu nyingine zinazokiuka thamani ya binadamu.

Taarifa za mtandao wa shilika la kimataifa la kutetea hakiza binadamu,HRW zinafafanua kuwa hii ni fursa halali ya wahenga hawa kuuliza maswala serikali ya Rwanda kuhusu utekelezaji wa mkataba iliyousaini mwaka 2008 na kuchunguza ukweli wa mashtaka waliyoishtaki serikali husika na kutotekeleza mkataba huu.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Taarifa hizi ni baada ya HRW,kupitia ripoti zake zikiwemo hii kwa jina la ‘All thieves must be killed’ yaani kila mwizi haina budi kumuua kushtaki jeshi na polisi vya Rwanda kuwatesa kimwili wafungwa hasa wapinzani kutoka FDRL na RNC kwa kutumia mbinu mbalimbali na kuwaua wowote wanaotuhumiwa kuwa wizi.

Serikali ya Rwanda ilikana ripoti hii na kupitia waziri wake wa haki,Busingye Johnston  kusema kuwa haya ni kuionea Rwanda na kuongeza kuwa hakuna ushirikiano kati ya serikali ya Rwanda na HRW.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pia shilika la kutetea haki za binadamu nchini Rwanda lilikana mashataka ya HRW kwa kueleza kwamba kuna waliotangazwa kuwa waliuawa ambao ni hai.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.