Swahili
HABARI MPYA

Rwanda kuanza ujenzi wa satelaiti

Rwanda kwa kuungana mkono na Japani wameanzisha rasmi mradi wa ujenzi wa satelaiti ili kuboresha mambo ya teknolojia.

Mradi unatekelezwa nchini Rwanda wilayani Kicukiro mjini Kigali.

Mwalimu wa chuo cha Tokyo nchini Japani, Prof Shinichi Nakasuka ametangazia Igihe kwamba mradi huu hautakuwa ghali

“Mradi huu unahitaji frw miliyoni 173 tu ila satelaiti za kale zilikuwa sawa na biliyoni 260”

Kwa upande wa Rwanda Luteni Kanuni Patrick Nyirishema ameeleza mradi huu ni wa kutiwa kivitendo siyo kinadharia.

“Tunataka kuungana mkono na Japani ili kuwazindua watu kujenga satelaiti.Tutatangaza tulichojenga miezi hii mwaka ujao” amesema

Mradi huu umetiliwa saini kwenye mkutano wa Smart Africa ambako kunatalajiwa kuwa nchi mbalimbali barani Afrika zitashirika.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song update

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com