kwamamaza 7

Rwanda kuanika simu za kisasa ilizounda

0

Kampuni ya Mara Corporation Ltd nchini Rwanda inatarajia kuweka hadharani simu za kisasa (Smart Phones) ilizounda siku za usoni.

Mwenyekiti wa hii kampuni, Ashish J. Thakkar alisema Alhamisi wiki hii kwamba simu hizi za mikononi zitapatikana miezi miwili ijayo.

Thakkar ameambia washiriki 100 wa mkutano unaojadili namna ya kukuza mambo yanayotayarishiwa barani Afrika.

Amesema kampuni hii, itatoa ajira kwa watu elfu mbili wakiwemo asilimia 16 za wanawake.

Mwezi May 2018, wakati wa Mkutano wa VIVA Mjini Paris, Ufaransa, Thakkar alisema simu hizo ni za kiwango cha juu na ni za kujivunia barani Aafrika.

Alisema zitakuwa na bei ya dolla 100- 200

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.