kwamamaza 7

Rwanda katika kundi la kuhusika na haki za binadamu ulimwenguni

0

Katika kura iliyofanyika jana tarehe 28 Oktoba 2016, umoja wa mataifa ulifanya kura kuhusu hali ya umutu na katika nchi 14 ambazo zilichaguliwa Rwanda yupo katika kundi la kusika na kulinda hali ya umutu ulimwenguni.

Pamoja na Rwanda nchi zingine ni Brazili, Crowasiya, Misiri, Hangariya, Iraki, Japani, Tuniziya na Marekani kwa muda wa miaka mitatu na wataanza kazi tatehe moja Januari 2017.

Urusi ilipoteza na fasi bila kufanikwa tena pamoja na Alijeriya, Ubufaransa, Mardive, Mexico, Maroko, Namibiya, Macedoniya na Viyetinamu; lakini china, Cuba, Arabiya Saudite na Wingereza walibahatika kubaki katika kundi mara ya pili.

[ad id=”72″]

Kundi hili ka kuhusika na hali ya umutu lina kikao Genava na lilianza munamo mwaka wa 2006, linaundwa na wanamemba 47 zikiwa serikali ambazo zipo kwenye mkataba wa umoja wa mataifa ulimwenguni. Kundi hilo huhusika na kulinda uvamiaji wa hali ya kimutu.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.