Swahili
Home » Rwanda ina lengo la kuwa na familia zinazoweza kujitegemea-Jeannette Kagame
HABARI MPYA SHERIA

Rwanda ina lengo la kuwa na familia zinazoweza kujitegemea-Jeannette Kagame

Jeannette Kagame kwenye sherehe ya kuanzisha mpango wa utawala bora katika familia, ameweka wazi kwamba Rwanda ina lengo la kuwa na familia tajiri,inayoweza kujitegemea.

Jeannette Kagame akimbeba mtoto changa

Jeannette Kagame ameleza kuwa familia yenye uwezo wa kijitegemea itapatikana wakati ambapo kuna maendeleo ya kila mtu pekee na kuwa kila mmoja mwa washiriki wa familia anatoa mchango wake vilivyo hasa wazazi kwa watoto wao.

Ameongeza kwamba kuna mengi yaliyofanyika kwa maendeleo ya familia na kuwa kuna mengi ambayo yanahitaji kutiliwa nguvu kuyapinga kama vile ukiukaji wa haki za watoto na changamoto kadhalika za familia.

Watoto waliokuwa wameimba kwa shangwe

Kwenye kitendo hiki,Jeannette Kagame amelisha watoto maziwa na kuwapa watoto wenye ulemavu magari ya kuwasaidia.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mpango huu utadumu miezi miwili.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com