kwamamaza 7

Rwanda imepokea mkutano wa Afrika kwa mambo ya kisheji

0

Jumatatu tarehe 31 Oktoba 2016, nchi ya Rwanda imepokea mkutano wa Afrika wenye kurudiria kila mwaka kwa niaba ya siku mbili, na mkutano huu ni wa mara ya pili ukijifunza namna ya kikazi ya kijeshi katika nchi tofauti katika bara la Afrika hata bara zingine kama Marekani.

Mkutano huu humo zaidi ya watu 100, pakiwemo wenye kusimamiya nchi zao katika bara la Afrika na lengo ni kuongezea uwezo wanajeshi ili kufanya kazi yao vizuri kusisitiza kweli kweli yale wanaoyafanya siku kwa siku.

[ad id=”72″]

Kwa kuanjisha mkutano, kiongozi wa jeshi la Rwanda Maj. Gen. Jean Bosco Kazura na wenzake wamesema kwamba mkutano huu utawaongezea nguvu tena kwa pande zote kwani watajifunza mengi, na wamesema kwamba mkutano huu utasaidia jeshi la Afrika kwa kutumikia pamoja ili kuulinda usalama na kuongeza amani.

Mkutano mwengine ulioanzia huu ulifanyika Marekani, na waliombwa kutia nguvu nyingi kwenye elimu, kuongezea uwezo jeshi kwenye bara la Afrika.

[ad id=”72″]

Mkutano huu una lengo pia la kusisitiza yale waliongeye mwaka jana ili kukaza na kutia nguvu mambo ya kijeshi barani Afrika.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.