kwamamaza 7

Rwanda imepewa tuzo la ushindi kwa kuwakokota watali ulimwenguni

0

Gazeti la utali la Uwingwereza, Wanderlust, limepatiya nchi Rwanda tuzo la ushindi kwa kuwa huendelea kuwakokota watali ulimwenguni kuliko nchi zote, na kura ilifanywa na wanaosoma na ilifikia Rwanda.

Uongozi wa kikao cha nchi ambacho huhusika na maendeleo walipokea matabishi hayo tarehe 2 Februari 2017.

Walio chagua Rwanda walisema ya kua ni nchi ambayo inajijenga haraka sana baada ya mauaji ya Kimbari dhidi za watusi mwaka wa 1994, na hujijenga pia kwa ngazi ya utali.

Kama vile gazeti hilo husema, Rwanda imechukua nafasi ya kwanza na asilimia 97.14, na ndio nchi ya Afrika yenye ilikuwa kwenye orodha hio. Nafasi zilizo fuata ni Bhutan, 96.92%, Bolivia, 95%, Georgia, 94 na Nicaragua 93.3%.

[xyz-ihs snippet=”google”]

tuzo1

Balozi wa Rwanda huko Uwingereza Yamina Karitanyi kupitia ukarasa wake wa twitter alisema kuwa Rwanda imefurahia kupokea tuzo hilo.

Watali hupenda Rwanda kwa ajili ya mimea mizuri kwa kuona, mapori, hifadhi zenye Gorilla.

Na katika hifadhi ya nchi Akagera wameongeza ndani Simba baada ya miaka 15 bila kuishi hapo, pori ya Nyungwe lenye kuwa na uwingi wa ndege tofauti.

Kikao cha maendeleo Rwanda (RDB) husemakuwa utali uliingiza miliyoni 318 dolla ya Marekani mwaka 2015, miliyoni 214 na miliyoni 998 pesa za Rwanda.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.