kwamamaza 7

Rwanda imefaidika askari polisi wapya 1883

0

Askari polisi wadogo wapatao 1883 wamemaliza mafunzo na msingi na kukubaliwa kuanza majukumu kama polisi wa Rwanda, mafundisho yalikuwa ni kituo cha 13, ni kwa muda walisoma katika chuo kikuu cha polisi ya Rwanda huko Gishari katika wilaya ya Rwamagana.

Kiongozi wa chuo kikuu cha polisi huko Gishari,  CP Nshimiyimana  Vianney aliwashukuru askari polisi hao kwa mwenendo walio onyesha kwa muda wa mafunzo yao.

Waziri Busingye aliwaomba kutoa msaada wao kwa ajili ya maendeleo ya Rwanda.

Aliwakumbusha kupiganisha makosa katika hatua ya kuwakataza daima wakosefu na kuchukiya makosa na kuwaonyesha matukio mabaya.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Askari polisi 1883 wamemaliza mafunzo, wakiwa wakiume ni 1661 na wakike wakiwa 222 kama vile huonekana kwenye ukarasa wa twitter ya polisi ya Rwanda.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Leki/bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.