kwamamaza 7

Rwanda iliwahi kuwa mbaya,siku hizi inaonyesha mema ya kufanya-Rais kagame

0

Rais Kagame kupitia mkutano wa baraza la maendeleo ya uchumi na uwekezaji kati ya bara la Afrika na Amerika ametangaza kwamba Rwanda ilikuwa na changamoto kadhaa lakini inaonyesha mengi ya kufanya siku hizi.

Baadhi ya changamoto alizozitaja Rais Kagame ni  mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi mwaka 1994 na kuwa ilivyobidi bidii ya kujenga nchi,ushirikiano na nchi nyingine na kuboresha uchumi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rwanda iliwahi kuwa mbaya,ilionyesha maovu yawezekanayo kwa binadamu lakini siku hizi inaonyesha mema ambayo binadamu awezayo kutenda”amesema Rais Kagame.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rais Kagame ameongeza kwamba serikali ilianzisha mikakati mabalimbali husika na uchumi, uwekezaji uwezekanao kwa yeyote, kutoa utawala mzuri,kupambana na rushwa na kuhamasisha watu binafsi kwa kutoa mazingira bora ya ufanyabiashara.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Ndiyo maana Rwanda hujitokeza kwenye nafasi za kwanza husika nurahisishaji wa kazi za uwekezaji”ameongeza Rais Kagame.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rais Paul Kagame amesisitiza kwamba ni murua sana kubadilisha fikra na kuwaza kwa mapana na kuwa dunia nzima inastahili kufikiri Afrika kama mwenzi katika mambo ya uchumi.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.