kwamamaza 7

Rwanda ilichagua vizuri kuhusu suala la Jerusalem-Dk.Kayumba

0

Mwalimu kwenye chuo kikuu na mtalaamu wa mambo ya siasa za kimataifa,Dk.Christopher Kayumba ameleza kuwa Rwanda iliamua vizuri kutonyesha msimamo wake kuhusu uamuzi wa Rais wa marekani,Donald Trump wa kuufanya mji wa Jerusalemu mji mkuu wa Israel.

Dk.Kayumba amesema kuwa alilolifanya Trump ni jambo la kawaida kwake ila jambo la kushangaza ni kwamba nchi zinazoonewa zimetoa mchango wa kuizuzua Marekani kwa kupiga marufuku uamuzi huu.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Dk.Kayumba amesema”Rwanda imechagua vizuri kulingana na diplomasia,naona kuwa hii ni aibu kwa marekani”.

Hili ni baada ya uchaguzi uliotokea kwenye makao ya Umoja wa Mataifa(YUNA) kwa kuchagua kama Israel itakuwa mji mkuu wa Israel.Nchi 128 zimepiga marufuku uamuzi huu,nchi 35 zikiwemo Rwanda hazikuonysha msimamo wake.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.