kwamamaza 7

Rwanda hukamatwa kama chanzo cha teknolojia katika bara la Afrika

0

Kundi la umoja wa mataifa wanao husikia na Elimu, malezi na mila, UNESCO, wamempa rais Kagame jana tarehe 10 Mei 2017 Medali katika mkutano wa Transform Africa 2017 kwa ajili ya kuendeleza teknolojia.

Kiongozi wa UNESCO Irina Bokova alisema medali hio ni kwa jili ya ukumbusho wa miaka 70 UNESCO imedumu, sherehe ilifanyika mwaka 2015, ni shukrani ya Rais Kagame kwa kuwa aliendeleza teknolojia kwa ajili ya wote na amani.

Kupitia ukarasa wa twitter, Bokova alisema eti “nafurahia kumpa medali ya kumbukumbu ya miaka 70 ya UNESCO, ni mfano bora kwa kuendeleza teknolojia kwa ajili ya wote kwa njia ya maendeleo”.

UNESCO ilimupa medali rais Kgama mwaka wa 2015 katika mkutano wa kuendeleza teknolojia katika elimu na malezi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rais wa Jamhuri anashukuliwa kwa kuwa aliongoza jeshi lililo simamisha mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi mwaka wa 1994, akajenga Rwanda ambayo haikuwa na matumaini ya kuendelea, ila kwa sasa ni nchi mfano bora kwa ngazi tofauti.

Kwa sasa Rwanda ni moja wa nchi 5 ambazo husawazisha katika ngazi zote na hukamatwa kama chanzo cha teknolojia katika bara la Afrika.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Leki/bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.