kwamamaza 7

Rwanda huenda kukamata mikopo wa bilioni 10

0

Rwanda inatarajia kutia sokoni vitambulisho vya mikopo vyenye usamini wa biloni 10 pesa za Rwanda ambazo zitasaidia kwa ngazi za uchumi na kujenga mambo ya msingi.

Tangazo linalo onekana kwenye ukarasa wa benki kuu ya taifa (BNR), husema kuwa vitambulisho vya mikopo vitatiwa sokoni kati tarehe ya 22 na 24 Februari 2017, na itakuwa na muda wa miaka tano.

Wafanya biashara wakubwa watagaramiwa na kitu chenye usamini juu ya miliyoni 50, nawadogo chenye usamini juu ya elfu 100.000, na watakuwa wakilipwa mwezi wa Februari na Agasti kila mwaka hadi 2022.

Tangu mwaka wa 2008 hadi 2015 Rwanda imeuza vitambulisho ya mikopo vyenye usamini wa bilioni 126 na miliyoni 757.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bnr

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google”]

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.