kwamamaza 7

  Rwanda:  Gari la huduma za mazishi lakamatwa likibeba bidhaa zilizokatazwa

0

Gari la huduma za mazishi limekamatwa na polisi Kusini Magharibi mwa Rwanda, Wilayani Nyamasheke likibeba nguo  na viatu vya kafa Ulaya vilivyokatazwa kuuzwa nchini.

DPC, SSP Gerald Habiyambere amesema alijua hilo kupitia  mtu aliyempigia simu akiwa Mjini Kamembe kwamba kuna biashara marufuku inayofanywa Mjini Kamembe kutoka DRC.

“ Aliyenipia simu alikuwa anajua vizuri kesi hii hata na basi waliokodi ili kubumbwaza walinzi wa usalama.” SSP Habiyambere amesema

“Gari limekamatwa na  bidhaa zimetaifishwa halafu zikapatiwa viongozi husika.” Ameongeza

Mmoja mwa watuhumiwa amekubali ni mala ya pili yeye kuweza kufanya biashara hii

DPC amesisitiza umuhimu wa kuwasiana na wananchi katika shughuli za kupambana na biashara marufuku.

Kulinagana na sheria, bidhaa zitauzwa kupitia mnada na dereva atapigwa faini ya $5,000.

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.