kwamamaza 7

Rwanda baadhi ya nchi kumi zenye utawala bora barani Afrika

0

Rwanda inapatikana baadhi ya nchi kumi ikiwa na alama 63.9% kwenye orodha ya Mo Ibrahim Foundation ya nchi zenye utawala mzuri barani Afrika.

Alama hizi zimeifanya Rwanda kuwa na nafasi ya kwanza baadhi ya nchi za Afrika Mashariki.Orodha hii imetolewa kwa kuangalia amani,siasa nzuri na maendeleo ya kiuchumi.

Taarifa za The Eastafrican zinasema kuwa nchi nyingine za Afrika Mashariki kuna Kenya 59.3%, Tanzania ikiwa na alama 57.5%.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Burundi ina alama 39.9% na nafasi 44 baadhi ya nchi 54 za bara,Sudani kusini na Soamalia zimejitokeza kwenye nafasi za mwisho yaani 53 na 54.

Orodha hii inaongozwa na Mauritius ikiwa na alama 81.4%, Seychelles 73.4%, Botswana na Cape Verde.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Nchi nyine zilizojitokeza baadhi ya nafasi kumi kuna Afrika Kusini,Tunisia,Ghana na Senegal.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.