Wakazi wa kijiji cha Cyanya,tarafa ya Kigabiro wametangaza kuwa wana wasiwasi nyingi za vijana majambazi wanaoiba mali za wanawake.

Hawa wametangaza kuwa kuna vijana wanaoiba simu za mikononi usiku,tatizo linalosisitizwa na kiongozi wa kijiji kwa wajibu wa usalama,Kayumba kwa kusema kwamba wanajua tatizo hili lakini changamoto ni kuwa mionogoni mwa wazazi wa majambazi hawa huficha maovu ya wana wao.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Katibu mtendaji wa Kigabiro,Aman Muhamya amesema kuwa itabidi kukaza ulinzi wa usiku kwa kuanzia  saa moja badala ya saa tatu kila siku.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina