kwamamaza 7

Rwamagana: RDF yatoa mashine 15 za kumwagilia mazao kwa mashirika 11 ya wakulima

0

Wanajeshi wa Rwanda (RDF) divijeni  ya kwanza wametoa mashine 15 za  kwa mashirika 11 ya wakulima za kumwagilia mazao yao wakati wa jua kali.

Col.Jean Bosco Rutikanga akitoa mashine za kunyunyizia mazao kwa wakulima

Kiongozi  wa majeshi kwa wilaya ya Gatsibo,Kayonza na Rwamagana Col.Jean Bosco Rutikanga akitoa mashine hizi amewakumbusha wakulima kwamba  hizi mashine ni mchango wa wanajeshi kwa maendeleo ya wakulima.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pia,diwani wa Rwamagana,Rajab Mbonyumutwa ameshukuru wanajeshi wa Rwanda na kuwaomba wakulima kufanya kazi zao kwa bidii ili kunufaika kwa mashine hizi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mashine hizi zimetolewa katika tarafa ya Mwurire(3),Musha(2),Karenge(5),Nyakariro(1) , Gishari(3).

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.