kwamamaza 7

Rwamagana : Msichana afariki ikiwa nyumba ya mvulana ,Mvulana atiwa mbaroni

0

Msichana mwenye umri wa miaka 23 amefariki usiku wa jumatatu,tarehe 5 Juni ikiwa amelala nyumbani kwa mvulana ambaye alikuwa ikienda kumzuru, Mvulana aiita msaada kutoka kwa jirani akisema kwamba mgeni wake amefarika.

Wakaazi wa kijiji cha Pulaje sehemu za Nyarusange, tarafa la Muhazi, Wilaya ya Rwamagana walisema kwamba mvulana ambaye anapanga nyumba katika kijiji hiki aliita msaada kutoka kwa jirani akiasema kwamba msichana yule amefariki.

Raia mmja ambaye hakupenda kutajwa jina alisema “ Asubuhi hii ndipo tulipojua kwamba kuna msichana aliekufa akiwa amelala pamoja na mvulana anayepanga nyumba hapa. Tumekuja kushuhudia na tuliarifu polisi na wakachua maiti ya msichana na kumshika mvulana. Sisi kama raia tumeshtuka kuona mvulana akiita msaada wakati ambapo msichana alikuwa amekwisha fariki, angetuita baada ya kuona msichana yuko hoi.na tukampeleka hospitali

[xyz-ihs snippet=”google”]

Raia huu anawaonya wasichana kuachana na tabia ya kulala kwenye nyumba za wavulana kwa kuwa angekuwa nyumbani kwake wanafamilia wangalimpeleka hospitaliPolisi imeanza upelelezi kama anavyoarifu Spika wa Polisi ya Rwanda Theos Badege..Spika huu anasema “ Ni kweli msichana mwenye umri wa miaka 23 amefariki ikiwa nyumba ambayo alikuwa amelela na upelelezi umekwisha anza. Na kuna mvulana aliyetiwa mbaroni na anafungiwa kwenye stesheni ya polisi ya Kigabiro”

Wiliya ya Rwamagana ni wilaya ambayo hujitokeza kwa wingi vifo vya hapa na pale ambavyo mara nyingi hutokana na kuiba, kushika kwa nguvu ya ngono, nakadhalika.

Spika wa Polisi ya Rwanda THEOS BADEGE

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

 Richard Wa Billy

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.