kwamamaza 7

Rwamagana: Kwa miezi 2 wamekamata kilo 115 ya katani

0

Tarehe 16 Novemba 2016 ndipo viongozi wa wilaya ya Rwamagana wamekusanya dawa za kulevya pakiwemo kilo 115 ya katani na malofu kilo 160 ambavyo waliteka kwa miezi miwili na kuzichoma kwa moto na kutowa ujumbe kwa raia wa mahali hapo.

Katika kitendo hicho palikuwepo viongozi wa polizi, viongozi wa mahakama, viongozi wa musingi na maelfu ya raia.

Radjab Mbonyumuvunyi, kiongozi wa wilaya ya Rwamagana amewakumbusha wakaji wa wilaya hio kwamba dawa za kulevya hulemea maendeleo, akishota kidole wanashule akisema kwamba wakitumia dawa za kulevya sherti matokeo katika masomo yao yatakua mabaya.

Radjab eti “familia ambao ina mtu anaye tumia dawa ya kulevya haina amani na huwa masikini kwababu pesa huharibia kwa kutafuta katani na kwa mwisho anafungwa na kuazibiwa vikali sana.

Kiongozi wa polisi katika wilaya hio SP Edward Kiiza, amewaambia wakaaji kwamba ni lazima wawe chemchemu ya maendeleo na usalama na kuzuiya mabaya yote kwa aina tofauti.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.