Home HABARI Rutsiro: Wanaotumia usafirishaji maji wapongeza utawala bora
HABARI - September 4, 2017

Rutsiro: Wanaotumia usafirishaji maji wapongeza utawala bora

Wabiria wanaotumia usafirishaji maji  kuelekea mahali kwingine kutoka wilaya ya Rutsiro kupitia ziwa la Kivu wanashukuru utawala bora kulingana na bei,wakati na mashua zinazowabeba siku hizi.

Wengi mwa hawa wakiwemo wanaoelekea  mjini Rubavu wamesema kuwa usafirisaji wao umerahisishwa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mmoja wao Habarurema,akizungumza na Bwiza.com ameleza kuwa analima shamba lake kule Rubavu kwa kusema”Nina shamba kule Gisenyi,nimehama kule siku tatu,nalima saa 3:00 nikaondoka”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pamoja na hayo,kiongozi wa mashua,Abdu Twizerimana amesisitiza kuwa wameweza kufanya lolote kwa ajili ya  mashua mpya na uhenga mpya wa kugundua hali ya hewa katika maji.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Hawa wana imani kuwa ushirikiano kati yao na serikali utandelea kuboresha matumizi ya usafirishaji maji.

.Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.