kwamamaza 7

Rutsiro: Hasara kwa ajili ya kodi yatesa wafanyabiashara

0

Wafanyabiashara kwenye soka la Nkora wananung’unikia hasara inayosababishwa na kodi ambayo hailingani na mapato yao wakati wa miaka 5.

Soko la Nkora lenye nyumba kukuu

Wafanyabiashara hawa wameleza kuwa hasara imejitokeza kuanzia viongozi wa wilaya kutangaza kwamba  soko la Nkora litanzishwa mahari pengine kwa hiyo wateja na wawekezaji  wamekosekana.

Wacuuzi na wateja wakosekana sokoni

Wamendelea kwa kunena kwamba wanapata hasara mno kutokana  na kuwa waliendelea kulipa kodi za nyumba na za serikali,mmoja wao Ntizirizaza amesema”Tunaendelea kulipa kodi ikiwa soko limeharibika”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Akizungumza kuhusu hili,diwani wa Rutsiro,Emerence Ayinkamiye ametangazia Bwiza.com kuwa wacuuzi wanapaswa kuendelea na kazi zao za kawaida kwa kuwa hawajamua lolote uhusu soko hili na kuwa walilowakataza ni ugenzi wa karibu na ziwa Kivu na mto wa Nkora.

 

Soko la Nkora liko karibu na ziwa Kivu

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza .com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.