kwamamaza 7

Rusizi:Uhaba wa soko la matunda watolewa suluhisho

0

Baada ya wakazi wa tarafa ya Bugarama,Muganza na Gitambi kulalamika kwa kukosa soko la kuuzia matunda yakiwemo embe,ndimu ,marracuja na mengine,shilika ”Duteze imbere iby’iwacu”lamaliza miwili  likianda juisi kutoka matunda.

Mkazi wa wilaya ya Rusizi akionyesha matunda yake

Akizungumza na Bwiza.com,meneja wa fedha wa shilika hili, Dusabe Jolie amefafanua kuwa wakati wa miezi miwili wakianda juisi  wananunua matunda yote na kuwa hili lilikuwa linawakera wakazi wa maeneo haya kupanda matunda kisha wakakosa wateja, kwa kusema”Tuliona bora kusaidia na kunufaisha kazi ya mkulima kisha tukanzisha kazi binafsi”.

Meneja wa fedha wa shiika’Duteze imbere iby’iwacu” Dusabe Jolie akionyesha juisi wanazoanda

Dusabe ameongeza kuwa bidhaa zao zimetia fora mjini Rusizi  lakini hawaja peleka bado kule Bukavu kwa sababu ya uwezo lakini kuna matumaini ya kusonga mbele kulingana na msaada wa mradi ‘Core project” wa World Vision.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Haya yanasisitizwa na kiongozi wa vitendo wa World Vision,Bw Sentozi Ananias ameleza kwamba mradi wao wataendelea kutoa msaada kwa watu mbali mbali ili kueneza maendeleo.

Kiongozi wa vitendo wa World Vision,Sentozi Ananias

Pengine, kiongozi wa wilaya ya Rusizi Bw Frederic Harelimana ameomba shilika hili kuongeza wingi na ubora wa juisi.

Kiongozi wa wilaya ya Rusizi,Frederic Harelimana

Kiongozi wa wilaya ya Rusizi,Frederic Harelimana

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.