kwamamaza 7

Rusizi:Ufukara, baadhi ya sababu za uja uzito bila mpango kuongezeka

0

Ufukara umejitokeza baadhi ya sababu zinazosababisha uja uzito usio na mpango kwa waschana 150 katika tarafa ya Bugarama, wilaya ya Rusizi,kusini magharibi mwa nchi.

Waschana hawa  wenye umri mdogo wameleza kuwa jambo linalosababisha kisa hiki  ni ufukara na hali mbaya ya maisha yao na kutojua mengi kuhusu mambo ya uzazi wa kijinsia.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mmoja wao amesema kuwa alipata mimba ya mwanamume aliyemuahidi kumpa simu ya mikononi  kabla ya kumaliza shule ya sekondari.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Afisa kwa wajibu wa mambo ya kijamii wa tarafa ya Bugarama,Deogratias Habyarimana ameleza kuwa hawana takwimu kamili ya waschana waliopachikwa mimba bila mpango ila anaamini kuwa idadi ni kubwa sana.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Takwimu za wizara ya usawa wa jinsia na maendeleo ya familia(MIGEPROF) zinaweka wazi kuwa waschana wenye umri wa miaka kati ya 16-19,17500 walipata mimba zisizo na mpango,jambolililoathiri vibaya maisha yao kama vile kuacha shule.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.