kwamamaza 7

Rusizi:Mchanganyiko wa upepo vurugu na mvua nyingi  vyateketeza nyumba 267

0
Nyumba zilizoharibika huko Rusizi

Mchanganyiko wa mvua nyingi na upepo vurugu vimeharibu mno nyumba 267, mazao ya wakazi na kiwanda mpya cha kuandalia mifuko.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Katibu mtendaji wa wialaya ya Rusizi,Ephrem Mushimiyimana amethibitisha taarifa hizi kuwa mchanganyiko wa mvua nyingi iliyonyesha jana na upepo vurugu vimeharibu mambo mengi hasa tarafa ya Bweyeye, Mururu na Butare.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pengine,mvua hii imeharibu ha 22 za migomba,shule 8,miti nane ya umeme na ofisi ya kijiji.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wathiriwa wa kisa hiki wanasaidiwa majirani wao kama vile makazi wakati ambapo uongozi unajianda vilivyo kutoa suluhisho la madhara mengine ya mvua hii.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.