Swahili
HABARI

Rusizi:Wakazi wapata soko baada ya miaka 15 wakifanyia biashara chini ya mti

Washiriki wanawake 168 na wanaume wawili wa shirika la ‘Dushyikirane’ katika tarafa ya Muganza wanashukuru viongozi wa kiwanda CIMERWA na utawala bora wa serikali ya nchi kwa kuwajengea soko baada ya miaka 15  wakifanyia biashara chini ya mti.

Soko mpya walilojengewa washiriki wa ‘Dushyigikirane’

Mkurugenzi wa shirika la ‘Dushyigikirane’ Appoline Mukamunana ametangazia Bwiza.com kwamba wanashukuru viongozi wa kiwanda cha CIMERWA kwa kuwajengea soko.

Walipokuwa wakiuzia bidhaa zao wakati wa miaka 15

Akianzisha soko hili,mkuurugenzi wa CIMERWA,Bekhi Mthembu amesema kwamba wataendelea kusaidia wakazi wa eneo hili.

Mkurugenzi wa CIMERWA,Bekhi Mthembu akianzisha soko mpya

Pamoja na hayo,Diwani wa wilaya ya Rusizi,Frederic Harelimana ameshukuru mchango wa kiwanda cha  CIMERWA katika maendeleo ya wakazi wa karibu na makao makuu yake.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Soko hili lenye bei ya miliyoni frw57  litwasaidia wakazi kuendelea na kazi zao za ufanyabiashara katika mazingira nzuri.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com