kwamamaza 7

Rusizi: Watu wawili washitakiwa kuwapa polisi rushwa

0

Katika wilaya ya Rusizi wanaume wawili wamekamatwa na polisi wakishitakiwa kujaribu kuwapa rushwa polisi wanaohusika na usalama barabarani ili waweze kuwa washindi katika mtihani wa kushindania vyeti vya kuongoza gari.

Wahukumiwa ni Nirere Pantaleon akiwapa elfu salasini (30.000 frws) ya pesa za Rwanda pamoja na mwenzake Hategekimana Matthieu aliyejaribu kuwapa rushwa ya elfu hamsini (50.000 frws).

Senior Superintendent of Police (SSP) Christian Safari kiongozi wa polisi wilayani Rusizi alieleza. ” walipokosa ushindi katika mtihani, kila mumoja alijaribu kumwendea mwana polisi aliye husika na mitihani ili awatiye kwenye orodha ya washindi, ila hawakufanikiwa kwa sababu wamekamatwa na kutiwa mbaroni.

[ad id=”72″]

SSP Safari aliendelea kueleza ubaya wa rushwa kwani ni haramu kwa polisi ya Rwanda, kama mtu hakufurahishwa na alama alizopewa ni vizuri kuelekea katika ngazi nyingine za juu ili kutatuwa tatizo kirasmi.

Dhambi ya rushwa huhukumiwa kifungo kati ya miaka miwili na tano na kutoa fine ipatayo kati ya mara mbili hadi 10 kuligana na rushwa iliyotolewa.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.