Vijana wawili wenye uraia wa Congo waliakamatwa wakiwa na bangi yenye kujaa bahasha, wapo kwenye stesheni ya polisi ya Muganza katika wilaya ya Rusizi, wanashutumuwa usafirisaji wa bangi na waliakamatwa jumapili tarehe16 April 2017.

Viajana hao wawili walikuwa wakitoka Bugarama, walikimbia na kuacha bangi katika shamba la mpunga, ila raia waliwafuata na kuwakamata na bangi yao.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kiongozi Musabyemariya eti’’ waliwaleta kwenye kikao ya kiini na walikuwa wakisema Kinyarwanda, ila kwenye vitambulisho vyao ni wenye uraia wa Congo wa sehemu ya Kamanyola, mahali pa mpaka na Bugarama, ila wahusika husema ya kuwa walikuwa wakirudi kwao Congo.

Wakaaji wa Bugarama husema kuwa yawezeka kuwa bangi hufika mahali hapo ikitoka Congo, pia wanasema ya kuwa yawezeka kwamba walikua tayari wameuza bangi nyingine.

Kanda hano ujye ubona amakuru yihuse kandi kugihe kuri Facebook no kuri twitter

Leki@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina