kwamamaza 7

Rusizi: Kwa kitendo ya ngono mimi ni utamu sana kuliko wewe

0

Wanawake wa tarafa ya Nzahaha, wilaya ya Rusizi walisema ya kuwa kupanga uzazi una matokeo mabaya kwa familia zao na hata bwana zao wana wachukiya, na si hao tu, hata katika miji mabwana wakigundua ya kwamba wake zao wamepanga uzazi wanawaacha na kutoka nje, wakise ya kuwa nje ni tamu kuliko nyumbani

Ushuhuda wa mke wa Rusisi yeye husema ya kuwa aliwazaa watoto 6 kwa sababu alikataa kupanga uzazi ijapokuwa mumeo alikua akihitaji kupanga uzazi, Tabita alitoa mfano akisema wake wengine walikua wakimwambiya ya kwamba mtu akipanga uzazi mwili huharibika, kama kunona, maumivu ya kichwa, mugongo, hata kuchukia kitendo cha mapenzi.

Utafiti huonyesha ya kwamba hao ni matukio ambayo huweza onekana kwenye maisha ya mke anayekamata vibao na sindano. Asiye tumia hayo hutumia namna nyingine kama kuhesabu, condom, na kujinyimana na kazalika.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Ushuhuda wa mwanamke katika mji wa Kigali, alimfukuza dada wa kazi nyumbani alipo kuta akizini na mumeo, eti “niliishiwa, ila niliyo yaambiwa na mfanya kazi nyuma ilinisukuma kupoteza akili”.

Alipo fukuzwa aliandikia mama wa nyumba barua akiomba kusamehewa kwa kuwa alidaganywa. Ujumbe ni huu “si mimi, bosi alinibaka mara ya kwanza nikanyamaza kimya, baada alikuwa akinipa pesa na kusema kuwa mimi ni utamu sana kuliko wewe kwa sababu wewe alitumia condom, mimi ni utamu kwa kuwa  tunafanya nyama kwa nyama”.

Kwa huzuni mwingi mama huyu alikwenda kuomba mashauri kwa wa mama wengine. Aliwaambiya ya kuwa anatumia condom ili kupanga uzazi na aliongea na mume wake kwani vipao na sindano vilimusukuma kunona na maumivu ya mugongo.

Walimushauri kuvumilia na siku nyingine akiona hayo awe kama hakuona kitu kwa sababu yanayo fanyiwa mbali ni zaidi ya mafikiri. Na si lazima kusirika ka kusimamisha kupanga uzazi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.