kwamamaza 7

Rushwa yavuma wilayani Rubavu,wakazi wafunguka

0

Wakazi wa wilaya ya Rubavu hasa wafanyabiashara wametangaza kuwa ni vigumu kufanya biashara na wilaya kutokana na  rushwa ambayo wanaipenda viongozi wa wilaya.

Mmoja mwa wafanyakazi binafsi ametangazia Sauti ya Marekani hakuna faida ya kuwezeka mali katika miradi ya serikali wilayani Rubavu kutokana na kutoa gawo la viongozi

“Ukipata soko  wilayani Rubavu haina budi kumpa gawo kiongozi ili kulipwa.Unapumpa kuanzia kiongozi wa chini hadi huko juu,ikiwa ni laki,faida yako itakuwa ni elfu kumi tu”

[xyz-ihs snippet=”google”]

“Rushwa hii inawafanya wanabiashara binafsi kushindwa kutimiza mikataba yao na wilaya” mwingine ameongeza

Kwa upande mwingine,Mkurugenzi wa washauri wa wilaya,Lambert Dushimimana ameeleza hajui ukweli wa hizi habari  na kuwa ukweli wake ni jambo la kuwasilisha mahakamani.

[xyz-ihs snippet=”google”]

“ Sijui ukweli wa hili,nilikutana nao ila hawakuniambia.Ikiwa kuna viongozi wanaogawana fedha na wafanyakazi binafsi ni suala kubwa,suala hili linastahili kujulishwa polisi”

Pamoja na hili,wafanyanyabiashara binafsi husikika mala nyingi wakikwepa kulipa wakazi na kuiacha miradi ya serikali bila kumalizika kutokana na uchache wa fedha.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

[xyz-ihs snippet=”google”]

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.