kwamamaza 7

Rushwa yashamiri wilaya ya Nyamagabe

0

 Rushwa imepata nafasi kubwa katika wilaya ya Nyamagabe katika mambo ya kuwania nafasi za kazi za. kuongoza tarafa.

Wengi mwa waliowania nafasi hizi,wametangaza kwamba bilashaka mambo ya kufanya mitihani mwaka 2016 yalichanganywa na rushwa kwa kuwa washindi walikula kiapo kwa ghafla wakati ambapo kuna waliopiga rufaa ya alama walizopata jambo ambalo ni kinyume na sheria.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mmoja wao Theoneste Maniraho alipiga rufaa ya alama zake kwa nafasi ya katibu mtendaji wa wilaya na kuambiwa kuwa alichelewa dakika 53 kupiga rufaa yake.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pia wameleza kwamba kufukuzwa baada ya siku chache kwa Jean Pierre Nzabirinda aliyepatiwa nafasi ya kuongoza tarafa ya Kigeme baada ya kugundua kuwa hakustahili kufanya mtihani wa kazi ni ishara ya kuwa rushwa ilitolewa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kwa upande wa viongozi wa wilaya ya Nyamagabe,Philbert Mugisha hakuitika kwenye simu yake kisha akatuma ujumbe wenye nambari za katibu mtendaji wa wilaya aliyeambia mtangazaji kuwa atampigia simu kisha hakupiga.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pamoja na haya, kuna taarifa za kupendelea,ubadhiri wa mali ya umma na kutorahisisha upatikanaji wa habari  kwa watangazaji katika wilaya ya Nyamagabe.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.