Swahili
Home » Rushwa kubwa iliyo onekana mahakamani ni 500.000 Frw– Prof Sam Rugege
BIASHARA

Rushwa kubwa iliyo onekana mahakamani ni 500.000 Frw– Prof Sam Rugege

Wendesha pikipiki na wendesha gari ndio walifikishwa mahakamani kwa ajili ya makosa ya rushwa kwa uwingi, na rushwa iliyo tolewa kwa uwingi ni kati ya 3.000 na 5.000 pesa ya Rwanda.

Wanahabari waliuliza Prof Rugege sababu gani wale ambao hupewa rushwa kubwa wajulikanao kwa jina la samaki kubwa hawaonekani mahakamani, alijibu na kusema kuwa hawakwendi kutafuta makosa ila wanasambisha makosa yanayo wafikiya kwani hilo si swali la mahakama.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kiongozi wa mahakama makuu Prof Sam Rugege alikuwa akiongea na wanahabari asubui ya leo kwa ajili ya kuanjisha wiki ya kupiganisha rushwa mahakamani akisema “haki haiuzwi tuwe kwa umoja kuongoa rushwa”.

Mahakama imeonyesha ya kuwa makosa ya rushwa ilio onekana sana ilikuwa ya pesa kati ya 3.000 na 5.000, iliyo kubwa ambayo ilifikishwa mahakamani ni frw 500.000. Walio wengi ni wendesha pikipiki na wendesha gari wapatao 14/35.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com