kwamamaza 7

Rulindo:Vijana wadai kutopata manufaa ya ujenzi wa barabara Base-Nyagatare

0

Vijana wa tarafa ya Base,mkoa wa kaskazini wametangaza kutopata manufaa ya kazi za ujenzi wa barabara kutoka Base-Nyagatare kwa kuwa hawakupata kazi kwenye mradi wa serikali.

Kijana aliyekosa kazi

Vijana hawa wamesema kuwa wamekosa kazi kwa kuwa kampuni ya Wachina,CHICO, ilijiletea wafanyakazi kutoka mahali kwingine.

MMoja wao amesema kuwa mbali na barabara hakuna manufaa mengine kwao kutoka mradi huu.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Katibu mtendaji wa tarafa ya Base,Fiacre Mwumviyinezayimana ameleza kuwa kuna tatizo hili na kuwa pamoja na viongozi wa mkoa wa kusini kutapatikana suluhisho kamili.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pamoja na haya,tarafa ya Base ina wakazi 19,572 ambao idadi nyingi  yao ni vijana.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Utafiti mpya wa bodi kuu ya takwimu nchini ilitangaza kuwa ukosefu wa kazi ni 21%.

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.