Swahili
Home » Rulindo:Mwalimu apasuwa jicho la mwanafunzi
HABARI

Rulindo:Mwalimu apasuwa jicho la mwanafunzi

Mwalimu kwenye shule ya msingi ya Cyondo,tarafa ya Base leo amempasuwa jicho mwanafunzi aliyekuwa karibu alipokuwa akimpiga mwenzake.

Shaidi wa kisa hiki wamesema kuwa mwalimu amempiga mtoto wa kike, 13 baada yake kupiga magoti na kuwa kipande kidogo cha fimbo aliyokuwa akiyitumia ndicho kuruka na kumpasuwa jicho.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mama wa mtoto huyu,Claudine Uwamajimana amesema kwamba amempeleka hospitalini na kuomba msaada wowote ili mwana we apate uganga kamili.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Diwani wa wilaya ya Rulindo,Emmanuel Kayiranga kwa mujibu wa taarifa za City Radio ametangaza kuwa mwalimu hakuhusudia tukio hili na kuwa hairuhusiwi.

Polisi imeanza upelelezi

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com