Swahili
Home » Rulindo : Waendesha mashtaka wanaombwa kutoa huduma nzuri
HABARI

Rulindo : Waendesha mashtaka wanaombwa kutoa huduma nzuri

Waendesha mashtaka 65 ambao hufanya kazi zao katika wilaya za jimbo ya Kasikazini wameombwa kufanya kazi njema wakiwapokea vizuri na kuwahudumia watu iwapasavyo.

Walikumbushwa hayo tarehe 22 Januari 2017 katika mafundisho ya siku moja kwenye kikao cha polisi wilaya ya Rulindo, kata ya Bushoki, walisisitiza kuwa na huduma nzuri.

Musemaji wa polisi katika jimbo ya Kasikazini, Assistant Commissioner of Police (ACP) Bertin Mutezintare katika maongezi nao aliwakumbusha haduma nzuri kwani ndio maendeleo na kupiganisha rushwa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Chief Superintendent of Police (CSP) Emmanuel Ngondo, yeye ni wa jimbo ya Mangaribi, aliwaambia waendesha mashtaka wa wilaya ya Rulindo, Gicumbi, Gakenke, Burera na Musanze aliwaomba kutii sheria ya kazi kwa ajili ya kukamata ao kuachilia mhukumiwa, ili mambo yote yawe ya kihuduma kweli.

Ndabarushimana Collette, yeye ni mmoja wa kundi kimataifa kwa ajili ya kupiganisha rushwa kikosi cha Rwanda (Transparency International – Rwanda), alisema kuwa mafundisho haya ni muhimu kwa ajili ya wendesha mashtaka kwa kutoa huduma nzuri.

Polisi ya Rwanda imeliweka kundi ambalo huhusika na uchunguzi wa kazi na tabia za wafanyakazi, pakiwemo kupiganisha rushwa. Pia kuna kundi ambalo huhusika na mwenendo wa askari polisi, wakifundishwa kihuduma.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com