kwamamaza 7

Rulindo: Polisi ya Rwanda imefundisha raia jinsi ya kuvuka barabara

0

Katika wilaya ya Rulindo, polisi ya Rwanda walifundisha wakaaji jinsi ya kutembea na kuvuga barabara jana tarehe 7 Februari, raia wa tarafa ya Mukoto wakivukia pajulikanapo kwa jina la “Zebra Crossing”,  na kujua sheria za kutembea barabarani.

Huu ni mpango wa polisi ya Rwanda, ila katika wilaya hii ya Rulindo siku nenda kulikuwa ajali kwa aina tofauti na mara nyingi chanzo ilikuwa ni wanao tembea na miguu na wakaaji hawatowi msaada kwa haraka.

Kiongozi wa polisi katika wilaya ya Rulindo Superintendent of Police (SP) Aphrodis Gashumba, alifafanua jinsi ya kuvuka barabara eti : “mwenye kutembea na miguu sherti atazame kushoto na kulia mbele ya kuvuka, na kutazama kama hakuna gari yenye iko karibu ili wasikutane barabarani na kujizuru kuvuka akiongelea simu mkononi ao akiandika ujumbe”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

SP Gashumba aliwaomba wanashule wanaotembea na miguu kujiazali na kutochezea barabarani kwa sababu wanaweza tiya maisha yao katika hatari.

Anayehusika na usalama barabarani katika wilaya hio Inspector of Police (IP) Francois Ndayambaje, alisema wakati wa ajali ni vizuri kutoa msaada kwa haraka eti “Rwanda tuna tabia ya kusaidia, kuna wakati lori yenye kupakia pombe ikifanya ajali watu hukimblia kunywa pombe pahali ya kuwasaidia wenye kuwa katika hatari. Mufahamu ya kwamba kutosaidia anaye kuwa katika hatari ni makosa yanayo azibiwa na sheria”.

Aliwaomba kuwa wakitoa taarifa ya wendesha magari wanao tupa mchafu barabarani kwa sababu usafi na usalama wa nchi ni kwa kila mtu katika Rwanda.

Wakaaji walifurahia mashauri walio pewa na polisi ya Rwanda wakisema ya kwamba waliyo fundishwa watayafanya mila na desturi.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.