kwamamaza 7

Rulindo: Baada ya kusimamisha usafirishaji wa kuku, wafugaji wanaomboleza

0

Wafugaji wa kuku Rwanda wanasikitishwa na kukosa mahali pa kufanya biashara yao tangu jamhuri ya kidemokrasia ya Congo kukataa usafirisaji wa hayo kutokana na magonjwa ya mafugo hayo yaliyo semwa Uganda.

Wafugaji wa tarafa ua Mbogo, wilaya ya Rulindo wakiongea na mwanahabari wamesema ya kuwa wakwisha kupoteza mengi katika miezi miwili kutokana na mpango wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kama vile husema sauti ya Marekani.

Zaidi ya miezi mbili ubiashara wa mayai na kuku ya kuvuka mipaka ya Congo kushimamishwa kutokana na magonjwa ya mafua sana katika nchi ya Uganda, ila viongozi wa Rwanda wamekana kuwa magonjwa hayo hayakufika Rwanda.

Raia wanaomba kuwe uwasiliano ili ubiashara wa kuku namayai katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo uendelee kwa sababu mayai huharibika kwa uwingi machoni pao.

Raia wanasema kuwa wameweka mayai mengi mno hadi sasa wamekosa mahali pa kupeleka mayai, ila serikali huwafariji na kuwaambia kwamba bila kukawa Congo itafungua mipaka kwa ajili ya hayo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Dr Christine Kanyandekwe, anaye husika na ufugaji katika kituo cha nchi RAB, eti “yaliotendeka kwa upande wa Congo ni kusimamisha kwa muda kama vile nasi tulikuwa tumesimamisha tulipo sikia tatizo hilo, ila tupo katika maongezi na ninaamini kama siku chache ubiashra utaendelea”.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Leki/bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.